UHAMIAJI WATHIBITISHA KUMWEKWA CHINI YA ULINZI KIDUMU NA KUMHOJI KWA MASAA MANNE MTWARA
Posted by
faudhu gucci
-
11:45 AM
-
0
Kidumu kwenye Moja ya Show zake |
INASEMEKANA KUNA SHOW ILIBIDI APIGE MCHANA LAKINI ILISHINDIKANA KUTOKANA NA KUWEPO KIZUIZINI, LAKINI BAADAE ALIACHIWA NA KUENDELEA NA SHOW YA USIKU AMBAYO INASEMEKANA ILIKUA POA,
KWA MUJIBU WA AFISA UHAMIAJI WA MKOA WA MTWARA MR MKAMBALA ANASEMA ILIBIDI WAWAKAMATE KIDUMU NA BAND YAKE NZIMA YA BODA BODA, AMBAPO WALIWAHOJI KWA MASAA MANNE MFULULIZO, HUKU MAAFISA HAO WAKIKAGUA HATI ZAO NA BAADAE WALIPORIDHISHWA WAKAWAACHIA,INAONEKANA DESIGN KARATASI HIZO ZILICHELEWA KUWAFIKIA MAAFISA HAO.
MSIKIZE AFISA UHAMIAJI WA MTWARA MR MKAMBALA KAMA ALIVYOFUNGUKA NDANI YA 255 YA XXL NA DEE ANDY: