PETER MSECHU AENDA KIGOMA KUMWONA MTOTO WAKE KWA MARA YA KWANZA
|
Peter Msechu |
|
Mtoto wa Peter |
Imebainika kuwa Peter Msechu amefly to Kigoma kwenda kumwona mwanae kwa mara ya kwanza, Gazeti la makorokocho limegutuka leo kuhusu ishu hiyo, yani pamoja na Status alizokua akiweka msanii huyo kwenye mitandao ya kijamii kumbe alikua hata hajawahi kumwona mtoto wake wa kike ambae baadhi ya watu waliwahi kumshauri ampe jina la Lulu (muigizaji wa Bongo movie, kwa wakati huu yuko mahabusu kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Kanumba) watu walimshauri Peter amwite mwanae Lulu kwa sababu msanii mwenzake Barnaba nae alipata mtoto wa Kiume usiku huo huo aliofariki Kanumba, na Barnaba akamwita Steven (kumuenzi Steven Kanumba)lakini baada ya kupewa Ushauri huo mwezi uliopita, Msechu alikuja juu kama mbogo.licha ya kumjaza kibendi mtoto wao nje ya Ndoa Peter Msechu Amepokelewa Vizuri na wakwe zake, kama ni ndoa au nonihino tuuu, utasoma kupitia Makorokocho mskie Msechu hapo chini alivyofunguka ndani ya 255 ya XXL/clouds fm: