UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN WASHEREHEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA MUUNGANO WA TANZANIA

0
***Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman aliongoza Ubalozi wa Tanzania nchini Oman katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 48 ya Muungano katika sherehe zilizofanyika tarehe 12 May 2012 katika Hotel ya Grand Hyatt Muscat, mgeni Rasmi alikuwa Mheshimiwa Mhandisi Khalid bin Hilal bin Soud Al Busaidi, , Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Oman . Mgeni rasmi alifuatana na ujumbe mzito kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Oman akiwemo His Highness Mohamed bin Salim Al Said, Mkuu wa Itifaki, Mheshimiwa Balozi Hamed Al Kiyumi, Mkurugenzi wa Idara ya Africa,

0 comments: