TEYANA TAYLOR AMESAINI DEAL NA GOOD MUSIC.
0
Mwanadada Teyana Taylor yuko ndani ya kampuni ya Good Music baada ya miezi kibao ya uvumi sasa iko wazi mwanadadiva amesaini deal hiyo. Mwimbaji huyo kutoka Harlem rasmi amesaini kujiunga na Kanye West ndani ya Good Music na ushirikiano na Island Def Jam imetangazwa leo.