SPIKA AWA MGENI RASMI KWENYE SHEREHE YAMAADHIMISHO YA ALBINO MWANZA
0
*** Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akipata maelezo kutoka kwa Ndg. Abdalah Omar kutoka Chama cha Albino Tanzania juu ya matumizi ya mafuta maalum ya ngozi kwa ajili ya watu wenye ulemevu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho ya bidhaa na huduma mbalimbali za watu wenye ulemavu wa Ngozi. Spika alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya saba ya siku ya Albino yaliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi Jana.**** Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akipokea DVD maalumu kuhusu Albino na Maisha yao kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Under the Same Sun