KILI MUSIC AWARDS WINNERS NI ZAMU YA MWANZA KUPATA LADHA
0
*Tukiwa Airport ya Dar pichani ni Dullah wa Planet Bongo na Barnaba *Wakati tupo uwanja wa ndege tukakutana na rafiki zetu Arthur na Salama Jabir na walikuwa wanaelekea Mwanza ila kwenye kazi yao ambayo haiusiani kabisa na tour ya Kili Ommy Dimpozi & AY wakiwa tayari kuingia kwenye ndege, AY alikuwa na Salama so AY yeye anashow kesho jumapili hapa hapa Mwanza*Baada ya kufika Mwanza salama tukapata nafasi yakwenda Radio Free Africa kufanya interview kidogo*