SHOW YA MISS NA MR IFM 2012. ITAKAYOFANYIKA KATIKA UFUKWE WA CINE CLUB
0
.jpg)
BETTER DAYZ ENTERTAINMENT AND MARAFIKI WA KWELI LIMITED WANAKULETEA SHOW YA MISS NA MR IFM 2012. ITAKAYOFANYIKA KATIKA UFUKWE WA CINE CLUB MIKOCHENI TAREHE 12 MAY 2012. KWENYE STAGE DIAMOND PLATNUM ATATIKISA VILIVYO AKISHIRIKIANA NA MC MPOKI. NI SHOW KABAMBE AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA KATIKA ULIMWENGU WA UREMBO. VIINGILIO NI TSH 15,000/= KWA WANAFUNZI WA IFM NA TSH20,000/= KWA WASIO WANAFUNZI. USIKOSE SIKU YA JUMAMOSI NDANI YA CINE CLUB MIKOCHENI. wote mnakaribishwaCOMMITTEE