mnyama afanya mauaji neshno, yanga yapigwa 5-0

0

mnyama afanya mauaji neshno, yanga yapigwa 5-0

***Mchezaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi akishangilia goli mara baada ya kuifungia timu yake goli la kuongoza katika mchezo wa kumaliza michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom inayomalizika leo kwenye uwanja wa Taifa huku ikiwa tayari ni mabingwa wa ligi hiyo,****Mpira umeisha na Simba wanaondoka kidedea kwa bao 5-0 **dhidi ya mtani wao wa jadi Yanga.****Goli la pili la Simba limefungwa na mchezaji Felix Sunzu kwa njia ya penati na dakika chache zilizopita tayari Emmanuel Okwi ameongeza goli la tatu. Kipa Juma Kaseja ameongeza lingine kwa penati wakati Patrick Mafisango amepiga goali

0 comments: