RAIS OBAMA AKUBALI HADHARANI KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA

0

RAIS

Inaonekana kwamba Rais Barack Obama wa Marekani amebadilisha msimamo wake kuhusu ndoa za jinsia moja. Obama Amevunja rekodi kwa sababu amekua rais wa kwanza duniani kuongea hadharani akisupport ndoa za jinsia moja kwenye mahojiano na kituo cha Tv cha ABC. Wakati Marekani ikisubiri kufanya uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu

0 comments: