HIKI NDIO KIASI CHA PESA ALICHOTOA MWIGIZAJI JACKLINE WALPER KUMTIBU SAJUKI.
0
HIKI
Baada ya shilingi milioni tisa kupelea katika milioni 25 zilizohitajika kumpeleka mwigizaji Sajuki kwenda India kutibiwa, Mwigizaji Jackline Walper yeye mwenyewe amejitolea dola za kimarekani elfu kumi zaidi ya milioni 15 za kitanzania kwa ajili ya matibabu ya Sajuki. Mtangazaji Shadee wa Clouds TV ameripoti kwamba “shukrani kubwa ya Sajuki aliyoitoa ni kutokana na kiwango