JINSI GARI LA TP MAZEMBE LILIVYOVAMIWA HUKO SUDAN.
0
Tabia ya timu za kisudani kuzipokea vibaya timu pinzani zinapoenda kucheza nchini kwao umeendelea, baada ya Simba sasa ni TP Mazembe ambao jana mashabiki wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan wameufanyia fujo msafara wa klabu ya Tout Puissant Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mjini Khartoum