Maneno mengine ya Jose Mourinho baada ya kujiunga Chelsea

0
.
Kocha Jose Mourinho ambae headlines zinammiliki sasa hivi kwa uamuzi wa kurudi Chelsea, amesema haikuwa ngumu kukataa kurudi kwenye club hiyo anayoipenda kwa kuwa watu wa chelsea wanamkubali na anawakubali pia.
Maneno yake ni haya….. “mashabiki wanajua kuwa sijarudi hapa kulalia mafanikio ambayo niliyapata miaka ya nyuma, mimi ni professional ambaye siku zote najisukuma ili kufanya kazi nzuri na ndio ntakachofanya hapa nikiwa nimerejea Stamford bridge,nimerudi hapa kufanya kazi sio kutegemea wepesi kwa kuwa mashabiki wataimba jina langu japo nahaitaji support yao ila nakuja kuanza moja”

0 comments: