Hawa Ndio Washiriki Waliotoka Katika Jumba La BIG BROTHER AFRICA Usiku Wa Jana …
0
Jana, shindano la Big Brother Africa: The Chase lilikuwa limefikisha siku 7 tangu washiriki waingia ndani … Kama ilivyo kawaida, kila jumapili washiriki/mshiriki hutoka mpaka atapobaki wa mwisho …
Nominations were there na kati yao walikuwepo washiriki wawili kutoka EAST AFRICA … yaani HUDDAH (KENYA) pamoja na DENZEL (UGANDA) … na bahati mbaya wakatoka …
Check washiriki hao waliotoka kwenye picha hapa chini :
Nominations zimetoka tena leo, na wawili wengine kutoka jumapili ijayo … Stay Tuned!!