2CHAINZ AKANUSHA KUIBIWA NA WATU WENYE SILAHA
0
siku mbili tu baada ya habari kuenea kuwa 2chainz ameibiwa walet yake na watu waliokuwa na silaha, leo hii ameibuka na kukanusha habari hizo na kudai kuwa si yeye alieibiwa bali ni mtu mwingine ambae alikuwa nae , na polisi nao wako upande wake .
''hakuwa muathirika wa tukio, alikuwepo eneo la tukio lakini hakuwa muathirika, wameripoti Radio.com.
kama hiyo haitoshi Chainz aliingia twitter na kuandika,
“Rule #1 if a rapper gets robbed people usually post items that has been taken. Rings, chains, watch , money etc. 2 answer that question. Rule#2 if a rapper gets shot he usually go to hospital or dies. Rule# 3 we definitely got geeked up in San Fran , best smoke in the world. 2 blessed 2 stress. I reportedly killed summer jam tho! #bayarea.”