SUTI ZA WACHEZAJI WA TAIFA STARS

0

Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakiwa ndani ya suti walizokabidhiwa na  wadhamini wakuu TBL huku zikiwa zimetengenezwa na mbunifu wa mavazi Tanzania Sheria Ngowi...wamependeza sana na shout out kibao kwa Sheria Ngowi

0 comments: