FEZA NA NANDO NDO WAWAKILISHI WA TANZANIA BBA 2013
0
Big Brother Africa 2013 "The Chase"
imeanza kwa kasi usiku wa leo (26 may) na msanii Feza Kessy na Nando
ndio wanaoiwakilisha Tanzania. kwa mujibhu wa story yake mwenyewe Nando
ni mtanzania anaeishi marekani lakini ilimbidi aombe hela kwa marafiki
zake kwa ajili ya kupata ticket ya kuja Tanzania kufanya usahili wa BBA,
amesema kama angekosa nafasi ya kuiwakilisha Tanzania asinge juta maana
pia alikua hajamuona bibi yake kwa miaka mingi, kwahiyo angekuwa
kaitumia nafasi hiyo kuja kumuona bibi yake.