Pamoja
na kwamba Rihanna na Chris Brown bado wanakiri kwamba ni marafiki wa
karibu, urafiki wao ambao unawafanya waonekane pamoja sehemu nyingi
wanazokwenda umefanya wengi waamini kwamba hawa jamaa wamerudi kwenye
mapenzi, hii ni moja ya picha zao za hivi karibuni wakiwa pamoja.