BEEF YA CASSIDY NA MEEK MILL IMEINGIA TENA KWENYE HEADLINES BAADA YA HII PICHA.
0
Ile beef ya longtime kati ya marapper Cassidy na Meek Mill naona inazidi kupata headlines kutokana na misumari ya moto inayopigiliwa.
Imeingia tena kwenye headlines wakati huu baada ya Meek Mill kuisambaza kwenye internet picha akiwa amepiga na mama mzazi wa Cassidy.
Kila mmoja ametafsiri kivyake lakini maoni mengi ya walioiona hii picha kupitia mtandao wa PWF wamesema inaleta maana mbaya, yani ni kama Meek Mill anataka kumuonyesha Cassidy kwamba yuko kwenye levo ambazo anaweza mpaka kula bata na mama yake mzazi, yani ishu imevuka mipaka na kuingiza wengine.
Mpaka sasa haijajulikana kama hii picha ni ya siku nyingi au ilipigwa hivi