NINAYO FURAHA KUKUALIKA KUISIKILIZA HAPA SINGLE MPYA YA MR BLUE.(by C.E.O FAUDHU)
Posted: 14th November 2012 by MillardAyo in News
Mr Blue.
Inawezekana mara yako ya mwisho
kusikia single mpya ya Blue ilikua ni wakati ametoa ‘Tilalila’ ambapo
baada ya ukimya mrefu ameamua kutuletea hii single mpya ambayo producer
Man Water ameshirikishwa kwenye utengenezaji na chorus na mpaka sasa
watu waliozungumza na mimi baada ya kuusikiliza, wameusifia sana huu
wimbo…. chukua time yako kuusikiliza pia hapo chini.