Brigitte Alfred ndie mshindi kati ya washiriki wenzake 29.
.
.
.
Mshindi
wa Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (katikati)katika picha ya pamoja
na mshindi wa Pili Eugene Fabian (kushoto) na Mshindi wa Tatu, Edda
Sylvester, Brigitte anatokea Kitongoji cha Sinza na Kanda ya Kinondoni
wakati, Eugene Mkoa wa Mara na Kanda ya Ziwa, Edda ni Miss Kigamboni na
Kanda ya Temeke.
.
.
.
.
.
.
.
Picha zote zimepigwa na Mrokim wa http://mrokim.blogspot.com
Waendesha shughuli Jokate pamoja na Taji Liundi.