ALIYEKUWA RAFIKI WA KARIBU SANA NA 50 CENT FLOYD MAYWEATHER AMCHANA MBAYA 50 KUPITIA TWITTER-FAUDHU GUCCI
0
weekend hii ilikua ni bandika bandua ya picha za 50 zilizoandamana na
matusi kutoka kwa aliekuwa mshkaji wake wa karibu sana mcheza ngumi
Floyd Mayweather
Lol si unajua historia ya 50 na zile risasai , sasa soma hapo alichokiandika jamaa