TYGA KUFANYA FILAMU YA NGONO
Rapper kutoka YMCMB Mkali wa ngoma ya Rack City Tyga ameripotiwa
kutengeneza, kudirect movie ya ngono ambayo itaitwa Rack City jina la ngoma
yake iliyofanya vizuri ya Rack City. Kufanya hivyo atakuwa amefuata nyayo
za Snoop Dogg, 50 cent, Lloyd Banks na Big Daddy Kane. Mkali Tyga ameamua
kujitosa katika soko hilo la ngono.
its more about music industry and social issues in and out of bongo land