HUYU ATAKUA MTANZANIA WA KWANZA MIMI KUMUONA KWENYE 106&PARK YA BET.

0


Kwa wale wanaopata huduma za DSTV pamoja na wenye uwezo wa kupata channel ya BET ya Marekani najua kusema 106&Park haitakua kitu kigeni manake ni show ya vijana iliyopata umaarufu sana na ilikua ikifanywa na Terrence J na Rocsi.
Mwanamitindo mtanzania Flaviana Matata ndio anakua mtanzania wa kwanza mimi kufahamu kwamba ataonekana kwenye show hiyo, nimechek nae akaniambia hafanyi interview bali kuna segment mpya ya fashion kwenye hiyo show itakayoruka soon ambapo ametumika kama model.
Huyu mwanaume anaitwa Jason Bolden ni celebrity stylist na huyu mrembo ni Stasia kazi yake ni producer.
106 & Park time hizo inafanywa na Terrence na Rocsi.

0 comments: