SHETTA
KIPINDI CHA SIKU KUU YA EID EL FITRI,
SIKU KADHAA ZILIZOPITA INASEMEKANA KWAMBA MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI
KIPYA SHETTA ALIPATA SHOW WILAYANI KAHAMA, HIVYO IKABIDI AKWEE MWEWE/
NDEGE MPAKA MWANZA THEN NDO APANDE BASI KUELEKEA KAHAMA, SASA WAKATI
AKIWA NDANI YA NDEGE FLANI (JINA TUNA MUTE) JAMAA AKAVUA VIATU ILI MIGUU
IPATE HEWA HEEEEEEEEE, KILICHOTOKEA BAADA A HAPO MWENYEWE ANAJUA,
INASEMEKANA KILA ABIRIA ALIANZA KULALAMIKA NDANI YA NDEGE KUTOKANA NA
UKALI WA HARUFU KUTOKA KWENYE VIATU VYA SHETA NA KILA MTU ALIOMBEA NDEGE
ITUE FASTA MWANZA, WAHUDUMU NAO ILI KUMSITIRI NDUGU MSANII IKABIDI
WATOE USHIRIKIANO KWA KUMLETEA MA POWDER NA MA AIR FRESHNER ILI AWEKE
MIGUUNI ANGALAU KA HARUFU KAPUNGUE, BASI MPAKA WANATUA KILA ABIRIA
ALIKUA HOOOOOOOOIIII, INASEMEKANA LAKINI
SKIZA SEGEMENT YA YOU HEARD INAYORUKA KILA SIKU ZA WIKI NDANI YA XXL YA CLOUDS FM
|