Diamond Platnumz Music Video Audition ROUND 2 at NYUMBANI LOUNG
0
Diamond awasili NYUMBANI LOUNGE
Mama yake Diamond
na sister wa Diamond ndio wamewasili now hapa Nyumbani Lounge kwenye
usahili wa video wa kupata watakaoonekana kwenye video mpya ya Diamond
ambayo itashutiwa na kampuni ya I-View Media
Majaji wakifuatilia kwa umakini zoezi zima hili la kutafuta vijana watanashati ambao watakuwa kwenye video hiyo mpya ya Diamond