PICHA ZA JINSI DR ULIMBOKA ALIVYOPOKELEWA AIRPORT AKITOKEA KWENYE MATIBABU.
0
Posted: 12th August 2012 by MillardAyo in News
Mwandishi wa habari Mroki wa
mrokim.blogspot.com anaripoti kwamba Kiongozi wa jumuiya ya madaktari
nchini Tanzania Dk. Steven Ulimboka amerudi leo august 12 2012 akitokea
Afrika Kusini kwenye matibabu ambapo amepokelewa na madaktari wenzake,
ndugu jamaa na marafiki kwenye uwanja wa ndege wa kiamataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es Salaam.Amesema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli zozote atakazopewa kuanzia sasa.