MTOTO WA GENERAL WA JESHI AUWAWA NA RAFIKI YAKE WA FACEBOOK.!
Binti wa jenerali mstaafu wa majeshi nchini Nigeria Miss Cynthia Osokugu
(mwenye nguo ya pink) amefariki dunia siku kadhaa zilizopita baada ya mwili
wake kukutwa ukiwa tayari umekwishafariki kwenye hotel moja nchini humo.
Binti huyo mtoto wa Jenerali Frank Osokogu alitangazwa kupotea nyumbani
kwao Nasarawa state alipoondoka bila ya kurudi tena alipokwenda kumtembelea
moja ya marafiki zake wa kiume aliyekuwa akichat naye facebook, Alipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa
Murtala Muhammed Airport, Ikeja, July 22, 2012 alipokelewa na rafiki yake
huyo ambaye walielekea hotelini kwenye mji