KWA WALE WAPENZI WA LIVERPOOL "REDS AGREE SAHIN LOAN"

0
Kwa wale mashabiki wa Liverpool, nimekuta hii kwenye website yenu kwamba mume msajili Nuri Sahin wa Real Madrid kwa mkopo wa msimu mzima .. Yatakayo jiri tutaendelea kuwajulisha endelea kutembelea hii blog kwa maelezo zaidi

0 comments: