BEHIND THE SCENE “OUT OF MY MIND” VIDEO MPYA YA B.O.B

0

B.o.b na Nick Minaj walikua nafuraha sana wakati wakifanya video iliyokuwa ikiongozwa na Benny Boom ya video ya wimbo wa “Out of My Mind” ilikua siku fresh kwa Nick Minaj na Mkali B.O.B. "Out of My Mind" Ni ngoma mpya kutoka album ya Bobby Ray’s inayoitwa “Strange Clouds” Video hiyo inatarajiwa kutoka kesho Jumatano 15/8/2012. its more about music industry and social issues in and out of bongo land

0 comments: