UPO DAR NA UNATAKA KWENDA MOVIE MLIMANI CITY? RATIBA HII HAPA…..
.
Movie zinazoonyeshwa ni nne, Spider – Man, What to Expect, Madagascar 3 na
Think like A Man hizo zimeanza kuonyesha Alhamisi hii july 5 na
zitabadilishwa tena Alhamisi ijayo.
Naendelea kufatilia kupata ratiba ya movie katika Cinema nyingine Dar na
Arusha.