Timu yetu ya olimpiki ikiwa uwanja wa ndege leo kwa safari ya london
**
*Timu yetu ya Taifa ya michezo ya Olimpiki yenye wachezaji wanne ikiwasili
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere leo tayari kwa safari ya
London, Uingereza, kushiriki kwenye michezo hiyo.*