PARK JI-SUNG AHAMA MAN U NA KUHAMIA HAPA, MANCINI KUONGEZA MKATABA CITY.
0
QPR inakua club ya nne kwa Msouth Korea huyu kuichezea ambapo kabla amezichezea amezichezea Kyoto Purple Sanga kuanzia mwaka 2000- 2002 kaifungia magoli 11, PSV Eindhoven 2002 -2005 kaifungia magoli 13, Manchester United kaifungia magoli 19 na amezichezea timu za taifa kuanzia mwaka 1999.
According to Espn Soccernet ni kwamba huenda anytime wiki hii kocha wa Manchester City Roberto Mancini akasain mkataba mpya wa kuendelea kuifundisha timu hiyo.