JUX AFANYA BONGE MOJA LA SHOW CHINA ANGALIA MATUKIO HAPA

0


JUX aka TREY SONG WA BONGO AKIWABAMBA WACHINA HAPO ALIKUA ANAIMBA NAPATA RAHA ANGALIA WACHINA WANAVODATA NA KUPATA RAHA
MUONEKANO MPYA WA JUX NA TATOO KAMA TREY SONG
JUX AKIENDELEA KUSHAMBULIA JUKWAA
JUX AKIJIANDAA KULISHAMBULIA JUKWAA HAPO KAMA ANAJIULIZA HAWA WACHINA WATANIELEWA KWELI ILA SAFII WACHINA HAWANA TATIZO NA MTU SAFI SANA JUX KWA KUIWAKILISHA TANZANIA NA KUIPELEKA BONGO FLAVA CHINA.
TUNAKUTAKIA MASOMO MEMA!!

0 comments: