JOSE CHAMELEON WA UGANDA HUYU HAPA, AMESHATUA BONGO TAYARI.

0

0
Jose Chameleone akiwa Uwanja wa ndege Dar es salaam, show yake ni leo usiku uwanja wa Taifa Dar es salaam katika Tamasha la Matumaini.kwa mizunguko yote ya bongo atakua anatembelea hili gari.

0 comments: