Wema Sepetu aagana na Omotola Jalade
0
***Mwigizaji wa Kimataifa kutoka Nchini Nigeria,Omotola Jalade wa pili kushoto akikabidhiwa zawadi za khanga, shanga na viatu kutoka kwa mwenyeji wake Wema Sepetu wakati akiondoka kuelekea Nigeria jana usiku. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya One Touch Solutions, Petter Mwendapole ambao waliratibu ziara ya msanii huyo. Mwingine wa msanii Snura.****Mwigizaji Wema Sepetu akimvalisha Khanga Omotola Jalade muda mfupi kabla ya kuondoka nchini kuelekea Nigeria.****Omotola akijaribu bangili za kimasai alizopewa kama zawadi.*