NEW ZZ@ 50 CENT APATA AJALI..PICHA HIZI HAPA

0

Rapper 50 CENT amepata ajali mbaya ya gari jana usiku huko Queens New York baada ya gari lake kugongwa na lori ambapo yeye na dereva wake walikimbizwa hospitali ya karibu kutibiwa,hakuna taarifa nyingne na ziada lakini millardayo.com iko karibu inafatilia kikitokea chochote kipya utakifAahamu kupitia hap hapa...

0 comments: