DOGO JANJA ANARUDI DAR KESHO, YOTE MENGINE ALIYOYASEMA NDIO HAYA.

0
Pamoja na kwamba aliapa hatorudi tena Dar ni bora aende kuishi kwao Arusha baada kutoridhika na vitu alivyokua akifanyiwa na Meneja Madee wa Tip Top Connection, Dogo Janja ametangaza kurudi Dar ijumaa ya kesho June 22 2012. Exclusive na AMPLIFAYA Janja ambae amemaliza wiki moja toka arudi kwao Arusha, amesema “namshukuru Mungu amesikia kilio changu

0 comments: