Baada ya tukio hilo msanii huyo ambaye hivi karibuni alifanya show kali ndani ya jumba la BBA aliandika kwenye mtandao wa Twitter yafuatayo.;..
Hamis Mwinjuma@MwanaFA "Next time nikikuta watu wanapiga mwizi na mtu akanizuia nisishiriki ntaanza na yeye kwanza...