wakuu wapya wa wilaya mkoani tanga wala viapo

0
*** 'Wilaya ya Handeni inabahati ya kupata wakuu wa wilaya warefu, tazama mimi mrefu na anayenipokea naye mrefu kama mimi', ndivyo alivyokuwa akisemaaliyekuwa mkuu wa wilaya mstaafu wa wilaya ya Handeni Kapteni Mstaafu, Seif Mpembenwe (katikati) akimweleza Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe, Bw Sadick Kallaghe, kulia ni Bw. Muhingo Rweyemamu mkuu mpya wa wilaya ya Handeni. **Picha na Habari na Mashaka Mhando,Tanga**** Mkuu mpya wa wilaya ya Tanga, Bi Halima Dendegu akiapa mbele ya mkuu wa mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Chiku Gallawa katika sherehe ya kuwaapisha wakuu wilaya...

0 comments: