WACHEZAJI TAIFA QUEENS WAPEWA KITITA CHA SH. MILIONI MOJA kila mmoja
0
***Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal wa nne kutoka kushoto na mama Tunu Pinda wanne kutoka kulia pamoja na wake wa viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na timu ya taifa ya Netiboli Taifa Queen mara baada ya kukabidhiwa kombe lao la ushindi wa pili katika michuano ya Afrika ya Netiboli, baada ya Malawi kuchukua ubingwa huo, fainali hizo zilifanyika jana kwenye uwanja wa Taifa wa ndani na kufuatiwa na hafla fupi nyumbani kwa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda