TAIFA STARS WAONDOKA JIJINI DAR ALFAJIRI YA LEO
0
***Wachezaji wa Kilimanjaro Taifa Stars wakiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) alfajiri ya leo kuelekea jijini Abidjan kwa ajili ya mechi yao dhidi ya Ivory Coast ya kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Dunia. Mechi hiyo inatarajiwa kuchezwa Jumamosi Juni 2.*