SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU LA BOMU LA ATOMIKI LA HIROSHIMA NCHINI JAPAN
0
*** Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimsindikiza Naibu Mayo wa Mji wa Hiroshima kwenda kuweka Shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agosti, 1945