Shetta Atangaza kufunga ndoa yake kesho Alfajiri
0
President wa Dar Stamina Shetts, ametangaza kuvuta jiko kesho baada ya uhusiano wa muda na demu wake.Shetta amethibitisha kufunga kwa ndoa hiyo kesho asubuhi kwa mke mtarajiwa Leila, na kukiri imekua kimya kimya sana kwa sababu imetokea kuwa mipango imebidi iende fasta kwa sababu Demu wake huyo ni mja mzito, na angependa wafunge ndoa kabla Leila kujifungua.