rich moko akiingia selo msimbazi

0
Rich one akiingia kituo cha polisi Msimbazi, check body language ya askari anaandikisha anacheka Rich one mwenyewe hana wasiwasi hata kidogo, inasemekana eti anatumia jina la Ally Kiba kujipatia fedha isivyo halali, kuomba pesa na kutapeli watu kwamba yeye ni Ally Kiba kwa njia ya simu,wametrack mtandao ndo akakamatwa yeye, Bado tunasikilizia itakavyokuwa alafu more stories hapa http://www.faudhugucci
.blogspot.com/ we have nothing much to say tukawa tunahukumu kumbe wanajuana tusubiri shauri hili mwisho wake huko mahamakani na polisi alafu tutajua mpango mzima, kwani hatuna tatizo na mtu pia tutamtamfuta Rich Moko abonge piaaaaaaaaa! Lakini daaaaah nouuuuuuumer.

0 comments: