NGORO NGORO HEROES YATUA KHANTOUM TIALI KWA MCHEZO WA MARUDIANO DHIDI YA SUDAN

0
***Ngorongoro Heroes imewasili salama hapa Khartoum jana saa 4 usiku kwa ajili ya mechi ya michuano ya **Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 dhidi ya Sudan. ****Mechi hiyo itachezwa Jumamosi kuanzia **saa 2.00 usiku kwenye Uwanja wa Khartoum ambao ni wa nyasi bandia, na hakutakuwa na kiingilio kwa**watazamaji.****Awali Ngorongoro Heroes ilitarajiwa kuwasili saa 2.10 usiku, lakini ndege iliyokuwa ipande Nairobi kuja **hapa ilichelewa kuondoka kwa saa moja na nusu kutokana na hali ya hewa kutokuwa nzuri katika Uwanja **wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta

0 comments: