NEW SONG RELEASED FROM DAXO CHALI
0
*"Money" is a song by recording artist TDX featuring Rapper Kala Jeremiah. The track was produced by Daxo Chali (Musichali Records & 360 Sounds) .Baada Ya Kukaa Kimya Kwa Muda Mrefu Tangu Atoe Track Ya Feel HipHop Iliyotengenezwa Na Marco Chali....Tdx Anarudi Upya Na Chali Mtoto(Daxo Chali) Na Pini Jipya Linaloitwa Money....TDX Na Daxo Ambaye Ndiye Anasimamia AlBUM Nzima Ya TDX inayokwenda Kwa Jina La CITY TO CITY Ambayo Ipo Karibu Kuisha Wanaomba Suport Yako....A TOWN RAPPER TDX Amejipanga Vilivyo Round Hii!!!!!! Pamoja!!!!***