. Milton Makongoro Mahanga (pichani) ameshinda kesi iliyofunguliwa dhidi yake
0
***Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii hivi punde toka Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam,inataarifu kuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya CCM,Dk. Milton Makongoro Mahanga (pichani) ameshinda kesi iliyofunguliwa dhidi yake ya kupinga ushindi wake wakati wa uchanguzi Mkuu wa Jimbo hilo la Segerea iliyokuwa imefunguliwa na Aliyekuwa Mgongea Ubunge kwenye Jimbo hilo kwa tiketi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Fred Mpendazoe (picha ya chini).****habari kamili itawajia baadae kidogo.***