MATAPELI WAICHAKACHUA SIMU YA JACKLINE WOLPER NA KUWAPIGA MIZINGA WADAU WAKE

0

MATAPELI WAICHAKACHUA SIMU YA JACKLINE WOLPER NA KUWAPIGA MIZINGA WADAU WAKE


Wolper

Mwanadada Star wa Bongo Movie, Jackline Wolper hivi karibuni amelalamika kuwa kuna matapeli wamei divert namba yake ya simu, hivyo simu zake zote anazopigiwa zinaingia kwa huyo tapeli ambaye amekua akiwaomba watu hela huku akijifanya yeye ndiye Wolper na amepatwa na tatizo,
Jacline Wolper anasema alishtukia mchezo huo baada ya kusafiri kwenda South Africa kwa ajili ya matibabu, akapokea simu kutoka kwa manager wake akimwambia kuwa kuna mtu huku bongo kaichakachua line yako ya simu na anapiga vibomu a.k.a mizinga kwa watu ile mbaya, anasema ilibidi awahi kurudi mwezi uliopita ili kufatilia ishu hii kwa ukaribu lakini kwa bahati mpaka leo bado hajafanikiwa kumkamata mwizi wake.

0 comments: