LULU AFIKISHWA MAHAKAMANI LEO JUMATATU 28/5/2012.
0
Ni majira ya saa tano na nusu asubuhi ya Jumatatu 28/5/2012 ELIZABERTH MICHAEL maarufu kwa jina la LULU amewasili katika viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania akiwa chini ya ulinzi mkali wa askari magereza kwa lengo la kusikilizwa kwa kesi inayomkabili.LULU ambaye anakabiliwa na kesi ya Mauaji ya Msanii wa Filamu nchini Marehemu STEVEN KANUMBA, amepelekwa mahakamni hapo kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa suala la umri wake ambalo limeshindikana kupatiwa majibu na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambako kesi hiyo ilikuwa ikitajwa.Licha ya kupelekwa Mahakama Kuu kwa kesi hiyo mbele