KILIMANJARO PREMIUM LAGER YATOA UBANI WA MILIONI MOJA KWA MSIBA WA MAFISANGO

0
***Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe (kushoto), akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Timu ya Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' wakati alipokwenda kuhani msiba wa mchezaji wa Simba Sports Club Patrick Mafisango huko Chang'ombe jijini Dar es Salaam jana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari alfajiri ya jana. Bia ya Kilimanjaro Premium Lager inayodhamini timu za Simba na Yanga imetoa ubani wa milioni moja katika msiba huo.****Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiwafariji kina mama waombolezaji wakati alipokwenda kuhani msiba

0 comments: